Kamati ya kudumu ya bunge maendeleo ya jamii ikiwasili jengo la kituo cha kurushia matangazo cha TanMedia communication(Radio 5FM )ambapo walikuwa na ziara ya kutembelea kituo hicho na kujionea mambo yaliyopo na yanayofanyika hapo. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Juma Nkhamia
 Wajumbe wa kamati wakiwa wanapita katika vyumba mbalimbali vya jengo hilo la Tan media comunication(radio 5) kuangalia vifaa vya kituo hicho

Mkurugenzi wa Radio 5 Robert France akiwa anawapa maelezo wajumbe waliotembelea kituo hicho akiwemo Mwenyekiti wa kamati na Mbunge wa Kondoa Juma Nkhamia pamoja na Waziri Kivuli wa Wizara hiyo mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari
 Wajumbe wa kamati katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kituo hicho
 Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Arusha Mhe.Rebeka Mngodo  Akiwa wanafurahia jambo na Mshauri wa taaluma wa Tan Media Bw.  Abubakar Liongo pamoja na Mbunge wa viti maalumu Mhe. Maryam Msabaha wakifurahia  jambo
Kamati ya Bunge ikiwa inatembelea chumba ambacho kitatumika kwa ajili ya televisheni ambayo inatarajiwa kufunguliwa hivi karibuni
 Chumba cha matangazo
 Mwanahabari Woinde Shizza wa Globu ya Jamii akiwa studio za kituo hicho
Wajumbe wa kamati  hiyo wakiwa wameketi katika kikao kifupi cha kuelezewa kazi zinazofanywa na Tan media

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...