Kamati ya kudumu ya bunge maendeleo ya jamii ikiwasili jengo la kituo cha kurushia matangazo cha TanMedia communication(Radio 5FM )ambapo walikuwa na ziara ya kutembelea kituo hicho na kujionea mambo yaliyopo na yanayofanyika hapo. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Juma Nkhamia
Wajumbe wa kamati wakiwa wanapita katika vyumba mbalimbali vya jengo hilo la Tan media comunication(radio 5) kuangalia vifaa vya kituo hicho
![]() |
Mkurugenzi wa Radio 5 Robert France akiwa anawapa maelezo wajumbe waliotembelea kituo hicho akiwemo Mwenyekiti wa kamati na Mbunge wa Kondoa Juma Nkhamia pamoja na Waziri Kivuli wa Wizara hiyo mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari |
Wajumbe wa kamati katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kituo hicho
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Arusha Mhe.Rebeka Mngodo Akiwa wanafurahia jambo na Mshauri wa taaluma wa Tan Media Bw. Abubakar Liongo pamoja na Mbunge wa viti maalumu Mhe. Maryam Msabaha wakifurahia jambo
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Arusha Mhe.Rebeka Mngodo Akiwa wanafurahia jambo na Mshauri wa taaluma wa Tan Media Bw. Abubakar Liongo pamoja na Mbunge wa viti maalumu Mhe. Maryam Msabaha wakifurahia jambo
Kamati ya Bunge ikiwa inatembelea chumba ambacho kitatumika kwa ajili ya televisheni ambayo inatarajiwa kufunguliwa hivi karibuni
Chumba cha matangazo
Mwanahabari Woinde Shizza wa Globu ya Jamii akiwa studio za kituo hicho
Wajumbe wa kamati hiyo wakiwa wameketi katika kikao kifupi cha kuelezewa kazi zinazofanywa na Tan media
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...