Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2012

    Wale wamevunja Sheria na Polisi yupo hapo? duh Bibi kagoma kuvuka bado tehteh Ankal naona unafuata sheria tehteh! Ankaaaaal leo umenifurahisha. MZ

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2012

    wewe mdau wa mwanzo ni sheria gani hapo iliyovunjwa? watu kuvuka barabara wakati hakuna gari karibu sio kosa. Na huyo bibi hakugoma alikuwa anasubiri green man ndio avuke, sababu kubwa ni kuwa mwendo wake ni dhaifu kwa hiyo hakuweza kuvuka pale ilipokuwa hakuna magari karibu na crossing aliyopo. Na mwisho nini hasa cha kuchekesha ulichokiona hapo?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2012

    Mdau wacha kuwa na roho ya Korosho sijasema kwa nia mbaya Mie nimejuwa kwamba Bibi hakuvuka sababu Umri wake na Mwendo wake ni Dhaifu ila Green Man iliwaka mwanzo hakuvuka ndomana nikasema Bibi kagoma sikuisemea kwa nia mbaya. Ankal kwenda na kurudi kuchukua kwake Video nimefurahi na Roho yangu ndugu yangu kama huwezi kufurahi Inshallah mwenyezi na wewe atakupa furaha usiwe hivyo. Zaidi nashukuru kwakunifahamisha kuhusu Madamu magari hayapo karibu wanaweza kuvuka.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 15, 2012

    hayo mambo mbona yapo sana tu uk?ila hao wazee wakisaidiwa na vijana,huwa saa nyengine nia yso ni kuwaibia.vibibi vinakuwa havina habari,ila kuna kipindi kimoja kilikuwa kinaonyeshwa,maana sehemu zote hizo kuna camera,jinsi vijana wanavyowaibia kwa njia hizo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...