Mkurugenzi wa bodi ya hifadhi za taifa Bw Aloyce Kilua akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua kampeni ya kutangaza vivutio vya kitalii vya Tanzania nchini Australia.hafla hii ilifanyika wiki iliyopita katika hotel ya Novotel mjini Sydney,Australia na kuhudhuliwa na watu mbali mbali.
Balozi wa Tanzania nchini Japan, Australia,New Zealand na Korea Kusini,Mh. Salome Sijaona (pili kulia) akifuatilia kwa makini hotuba ya Mkurugenzi wa bodi ya Utalii Tanzania,Bw. Aloyce Kilua (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuzindua kampeni ya kutangaza vivutio vya kitalii vya Tanzania nchini Australia iliyofanyika katika hotel ya Novotel mjini Sydney,Australia.wengine pichani ni wadau mbali mbali waliohudhulia hafla hiyo.
wadau mbali mbali wakiwa katika hafla hiyo.
Wadau wakibadirishana Mawazo.
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania nchini Australia,Bw. Frank Mtao akiwa na Balozi wa Tanzania Japan, Australia,New Zealand na Korea Kusini,Mh. Salome Sijaona.
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania nchini Australia,Bw. Frank Mtao (katikati) akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa bodi ya Utalii Tanzania,Bw. Aloyce Kilua wakati wa hafla ya kuzindua kampeni ya kutangaza vivutio vya kitalii vya Tanzania nchini Australia iliyofanyika katika hotel ya Novotel mjini Sydney,Australia.


hivyo vivutio mnavyotangaza kila siku ni hivyohivyo vya northern circuit. kanda nyingine imesahaulika kabisa.
ReplyDeletehuyo ni Aloyce Nzuki NOT KILUA Managing Director wa TTB
ReplyDeleteDah! Hongera Mama Sijaona kwa kupewa shavu la kuwa balozi wa Tanzania katika nchi nne tofauti kwa kipindi kipindi kimoja. Wadau naomba mnisaidie kufahamu, hivi inakuaje Balozi mmoja we anawakilisha nchi nne tofauti kwa wakati mmoja? Maana yake nini? Hakuna wengine wanaoweza kuwa mabalozi au? Nimeangalia jiografia ya hizo nchi (Japan, Australia, New Zealand na Korea Kusini) lakini sijaona ulazima wa kuwa na balozi mmoja. Au ndio tuna-save matumizi?
ReplyDelete