Bwana Gideon Mandesi kutoka taasisi ya Dolasedi akiongea na waandishi wa habari juu ya mpango wa kuwakilisha mapendekezo ya pamoja ya watu wenye ulemavu kwa kamati ya kukusanya maoni ya katiba.
Makalimani akiwaelezea washiriki wenye ulemavu wa kusikia majadiliano yalikuwa yanaendelea kwenye kongamano hilo.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nchini, Bwana Deus Kibamba akiwajengea uwezo jamii ya wenye ulemavu nchini namna watakavyoshiriki kikamilifu katika mchakato wa katiba unaoendelea nchini.
Watu wenye ulemavu wakiwa katika kongamano la kuwajengea uwezo namna watakavyoshiriki katika mchakato wa kukusanya maoni ya katiba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...