FAMILIA YA MR&MRS DANI MAFURU WA DUBAI LEO TAREHE 15 JULY 2011 WANAKUMBUKA MSIBA WA MAMA YAO MPENDWA ELIZABERTH CHILLIKO LEO AMETIMIZA MIAKA MIWILI TANGU ALIPOTENGANA NASI KWA MAPENZI YAKE MOLA.
JAPO HAYUPO NASI TENA KIMWILI TUNAKUMBUKA UCHESHI WAKE,USHAURI NA MAPENZI YAKE KWA KILA MTU NI KAMA BADO YUPO NASI
.UNAKUMBUKWA NA WANAO WOTE,WAJUKUU NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI
SISI SOTE NJIA YETU NI MOJA WEWE
UMETANGULIA MUNGU AKUREHEMU DAIMA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...