Bi Mariam Shamte, Mkurugenzi Mkuu wa Princess Nadia (1998) Ltd akiweka mambo sawa kwenye banda lake katika maonesho ya SabaSaba ambako amevutia wengi kwa bidhaa mbalimbali za katani anazoonesha
Mazuria ya katani
Bidhaa mbalimbali za katani bandani hapo.
Contact zao ni: mamuu1@hotmail.com
simu: +255 754304861
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...