Katibu mkuu wa kikundi cha Bujora,Slvester Ngabula akipokea kiasi cha shilingi laki sita kutoka kwa Meneja wa bia ya Balimi,Edith Bebwa baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika fainali ya mashindano ya Ngoma za Asili yanayodhaminiwa na Bia ya Balimi yaliyo fanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Meneja wa bia ya Balimi,Edith Bebwa,akimkabidhi fedha kiasi cha shilingi laki tano mshindi wa Pili wa Mashindano ya Ngoma za Asili,Makaranga Miugo kutoka Ukerewe.
Baadhi ya Vikundi vya Ngoma za asili vilivyoshiriki Mashindano ya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...