Kwa niaba ya mke wa marehemu Imani kibelloh na watoto wake Omary Kibelloh na Omran Kibelloh  wanatoa shukurani zao dhati kwa kushuhulikia kwa kikamilifu Maziko ya Patrin Kibelloh. Jumuiya ya watanzania inashukuru wadau wote kwa  upendo na umoja mliouonesha katika kipindi chote cha msiba kwani bila ya umoja wenu na ushirikiano wenu lisingelikuwa kama hivi. Tunawashukuru wale wote waliopo  Boston na nje ya Boston. Tunawaomba muendelee na moyo huo huo katika shughuli zote za kijamii.Vilevile tunawashukuru wale wote waliotoa michango yao kwa hali na mali kwa ajili kumsindikiza  Marehemu kwenye njia ya haki. Mungu na awabariki nyote na awapeni mazuri hapa duniani na kesho akhera.
Kamati ya mazishi.
 Mazikoni
 Baadhi ya wadau mazikoni
 Duwa
Hayati Patrin Kibelloh enzi za uhai wake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...