Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu ya mashirika ya umma(POAC) Mh. Zitto Kabwe akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bw. William Erio alipotembelea banda la PPFkatika viwanja vya Sabasaba
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bw. William Erio akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu ya mashirika ya umma(POAC) Mh. Zitto Kabwe ,alipotembelea banda la PPFkatika viwanja vya sabasaba kulia ni Meneja Uhusiano Bi.Lulu Mengele
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...