Ndugu Michuzi, heshima yako.
Ninaomba msaada unirushie mtandaoni kwako ombi hili kwa wadau wanaofanya au waliowahi kufanya masomo ya masters mchepuo wa biashara (MBA Genaral, Master of Finance,Accounting, Human Resourses, Management n.k) kwenye vyuo hasa vya USA, Canada, Australia, New Zealand na kwingineko.
Admission ya vyuo hivi inahitaji pamoja na mambo mengine kufaulu mtihani wa GMAT. Nimekuwa na nia ya kufanya mtihani huu lakini nimekutana na changamoto kadhaa kama kutoeleweka kwa vituo vya kufanyia au kuwaandaa watahiniwa wa kufanya mtihani huu hapa bongo, kutopatikana kwa materials kwa ajili ya maandalizi, ugumu wa namna ya kujisajili na kulipia kupitia mtandao n.k.
Ninahitaji kupata uzoefu wa watu waliowahi kufanya mtihani huu hapa TZ, walikabiliana vipi na changamoto hizi? Kwa mfano mimi niko Mbeya, ni lazima nije kufanyia Dar, ni kweli kama nilivyoona kwenye mtandao kwamba Tanzania nzima ni chuo kimoja tu kinausimamia?
Nimeomba materials chuo hiki wanasema hawafundishi wala hawatoi materials, mpaka ununue kupitia mtandao kwa credit card...Gharama za mtihani nimeona kwenye web yao ni $ 250 lakini hiki chuo kimoja kinatoza zaidi ya hapo, kuna namna naweza kujisajili bila kupitia jamaa hawa na nikishajisajili nitafanyia wapi?
Naomba msaada tafadhali.
Mdau.
Ni kweli sehemu ya kufanyia ni moja. ila hakuna longo longo hapa huwezi kukwepa fee ya mtihani.
ReplyDeleteInabidi uende kwenye mtandao wao ulipe hiyo $250 register kufanya UD.
Kama unataka materials; ongea na rafiki yako aliye USA atakutafutia vitabu na CD easily arafu akutumie. Hela kadhaa itahitajika
hello, kuna chuo kipo uk , ila wanaofisi bongo sio agency ni ofisi ya chuo (market office) wasiliana na huyu mtu anaitwa ally abdallah, email yake ni ally.abdallah@lsclondon.co.uk
ReplyDeleteThe Institute for Information Technology (IIT) is the only centre in Tanzania that offers GMAT exams. However, they are only a testing centre and so they do not offer any study material or tuitions related to GMAT. GMAT registration can be done online by logging in to http://www.mba.com/ . The cost of registering GMAT online is $250. Another option is that of registering with the centre whereby the candidate will be required to go to the center and fill in the required form and make payment of $300. Exams can be scheduled any day from Monday to Friday, starting from 9am to 5pm. Contact address: Institute for Information Technology, 1st Floor, Kelvin House, Samora Avenue, and P.O. Box 964, Dar es Salaam. Tel: +255 22 2114801/2, Fax: +255 22 2119506 Website: http://www.iit-tz.com/, Contact Person is Shezmin Kassam, Program Manager.
ReplyDeletePreparation materials for all the standardized tests are available at the U.S. Embassy Dar es Salaam’s Information and Resource Center Dar es Salaam.
mdau nimekuwekea information kwenye comment ya kwanza kwa maelezo zaidi piga simu uongee na Shezmin Kassam ndie program manager simu yake iko hapo kwenye maelezo wameeleza waweza kwenda kuregister pale kwa $300 ukapewa na tarehe ya exam bado naangalie material utayapata vipi. hope imekusaidia
ReplyDeleteGoing to an American College this Year?
ReplyDeleteImage: Education USA
This center belongs to the EducationUSA network of educational advising centers affiliated with the U.S. Department of State's Bureau of Educational and Cultural Affairs. EducationUSA advisers strive to provide accurate, comprehensive, current, and unbiased information on educational opportunities in the United States. We do not endorse or rank any college or university, nor do we endorse services provided by any company or organization in areas of test preparation, admissions, placement, language training, or visa procurement.
Educational Advising Assistance for Tanzania Students Wishing to Study in the USA
Answers to Frequently asked questions
Useful tips to Teachers on Writing Letter of Recommendation
Services Available
Undergraduate group sessions, which provide an introduction to the structure of American higher education as well as information on the application process. These sessions are offered each Wednesday, at 2:00. All undergraduate applicants must attend a group session before seeing the advisor individually. Undergraduate and graduate applicants should review admission procedures on the computers in the library. The librarian on duty will assist you.
Individual advising sessions, which help students to implement their educational plans; are available by appointment on Monday and Wednesday afternoon from 2:00 p.m. to 4:00 p.m.
Information on a variety standardized tests (e.g., TOEFL, SAT, GRE, GMAT) is available to students who have attended introductory advising sessions and selected their schools
We offer a well equipped library of up-to-date materials on education in the U.S. You are welcome to use these materials for researching and planning your U.S. education Monday -Thursday from 9:00 a.m. to 5:00 p.m. and Friday from 9:00 - 11:00 a.m.
You may also wish to consult these sites for additional information about higher education in the United States
College Board Online (http://www.collegeboard.com/)
Educational Testing Service Online (http://www.ets.org/)
University and College (http://www.utexas.edu/world/univ)
Our primary website is http://www.educationusa.state.gov/, where you will find a wealth of information designed for international students.
Print
Email
PRE-DEPARTURE ANNOUNCEMENT
Pre-Depature Orientation - Study in the U.S. June 21, 2012 at 12:00 noon (PDF 59 KB)
Download Adobe Reader »
CONTACT INFORMATION
Office Hours
Individual sessions
(by appointment):
Mon. & Wed. 2:00 - 4:00 p.m.
Address
Educational Advisor
American Embassy
PO Box 9123
Dar es Salaam
Tanzania
Tel: (255-22)229-4192
Fax: (255-22)229-4722
Email: eadar@state.gov
This site is managed by the U.S. Department of State. External links to other Inte
mdau material kwa nilivyoelewa unazipata kwenye hiyo center niliyocopy paste iko ubalozini na simu zao ziko hapo wapigie simu kwa maelezo zaidi au kama utakuja Dar nakushauri uende mwenyewe ukaulize zaidi, nimejaribu kusaidia mengine utamalizia mwenyewe. kumbuka hii imefocus zaidi Marekani sijaangalia nchi zingine ulizotaja. Good luck
ReplyDeleteOk haya information unaweza kupata hapa chini kwenye link hii
ReplyDeletehttp://tanzania.usembassy.gov/test-centers-info.html
na ndio inabidi utumie credit card, visa and the like!!!
Mdau
John
Bahati mbaya mdau ajasema yupo wapi hivyo inawezeakana ikampa shida konda kujua ampe msaada tuta la wapi.
ReplyDeleteIla ukifungua official website ya GMAT ambayo ni www.mba.com kuna sehemu ya kutafuta test location ambayo itafufahamisha kituo kilicho karibu yako. kwa Dar uwa test kama hizi zinafanyikia University of Dar Commputing center ila malipo unalipa moja kwa moja.
Bahati nzuri sikuhizi hata Bongo yuna Debit Card (Visa au mastercard) hivyo hata kama uko hapa nyumbani waweza kulipia kupitia online.
Uki google GMAT utapata free GMAT practice test na ukishalipia jamaa uwa wanatuma practice materials. Inabidi ucheck na chuo unachotaka uone wanataka score ngapi ila ni vizuri kupata za juu otherwise unaweza kurudia zaidi ya mara moja na kila mara lazima ulipe
Natumaini tuta ili laweza kusaidia
Styden
Nenda UCC-UDSM wanafanyisha TOEFL na GRE, sina hakika na GMAT, ila nadhani wanaweza kukushauri. Kila la kheri.
ReplyDeleteEddy
Van.
Mdau wa Masters,
ReplyDeleteLipo tatizo la Vituo vya hizo College Testings hapa Bongo ila pana Centre moja ya mtu ambaye yeye ni Appointed College testings administrator yupo hapa Dar.
Ukiwa Dar fika jengo la Bakwata ipo THE ICON CENTRE, 2nd Floor ni ya Mrs. Kapasi ipo makutano ya Bibi Titi na Morogoro Road.
Yeye anatoa Preparatory Classes na hata materials anatoa na ana simamia Testings kama GRE, GMAT, TSE, MELAB,SAT-I,SAT-II, IELTS, Toefl and so on.
Kazi kwako!
IT IS NOT TRUE THAT ARE NOT GETTING PLACE TO DO A EXAMINATIONS BECAUSE YOU WAS SAID IT HAS ONE PLACE IN DAR TO DO IT.HOWEVER YOU WAS SAID IT IS ONLY $250 THEREFORE IT LOOK LIKES YOU KNEW IT ALREADY AND YOU WAS ALREDAY TO DO IT EXAMINATION. I LIVED IN COLUMBUS OHIO AND I JUST GRADUATED IN MY MASTERS OF SCIENCE ON FINANCE AND MINORS ON INTERNATION RELATIONSHIPS MY GMAT WERE VERY EASY 150 QUESTIONS ALL MALTIPLE CHOICES AND TRUE AND FALSE. VERY FEW MATCHINGS ITEMS AND FEEL THE BRANKS. YOU CAN PASS YOU JUST HAD TO STUDY VERY VERY HARD AND THERE EXAMINATIONS IS VERY TOUGH IF YOU WERE NOT STUDY ALL TOPICS IN AND OUT. I URGUE YOU TO CONTINUED TO PUSH THEM TO TAKE $250 FEES AND DO EXAMS. MY NANE IS KARUME JAMALIWA FROM COLUMBAS OHIO LET ME KNOWS IF THIS HAVE HELP YOU IN YOUR ENDOVOURS OF SERCHING SCHOOL IN UNITED STATES, IT IS VERY SIMPLE AND NO CONSUMER TIME IS WESTED.
ReplyDeleteKARUME JAMALIWA. COLUMBAS OHIO
Mi nachojua british council wanatoa kwa gharama ya sh 350,000 kama nimekosea ni kidogo sana; na ukishalipa unapewa materials yote; google british council Tanzania then wapigie wakupe maelezo zaid
ReplyDeleteUkienda katika book store iliyopo Mlimani City wanavyovitabu kwa ajili ya mtihani huo bahati mbaya sikumbuki jina la hiyo bookstore ila hapo utafanikiwa kupata vitabu kwa ajili ya mitihani hiyo. Aidha, kuhusu sehemu ya kufanya mtihani wa GMAT ni Institute of Information Technology, Dar es Salaam jaribu goggle ili uweze kupata contacts zao.
ReplyDeletembona umebania comment? michu vipi hutaki maendeleo ya watu sio vizuri kaka mdau nimetuma maelekezo yote ya GMAT test comment zote zimebanwa sielewi lengo
ReplyDelete