Home
Unlabelled
mwizi wa simu akamatwa na hirizi yake dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hejamani nyie kwavile kaiba simu ndo mumfanye hivyo. sio vizuri nyie watanzania
ReplyDeleteKila mtu sasa ni kwa mganga!Looh hata kibaka!,,,Kweli Bongo tutafika?
ReplyDeleteAhlam
Poor devil.
ReplyDeleteHe may be stupid and greedy, but also consider he may just be desperate. Poverty breeds desperation.The other day I nearly cried when I read what a 15 year old had written, he was poor and desperate: I wish I was born a blade of grass on the side of the road, or a fistful of sand at the mercy of the wind(Jeong). So mwizi, ok, but he is binAdam kama mimi nawe.
Mdau wa kwanza inaelekea we hausji tz, hawa watu wanatufilisi sn kwahy we ulitaka afanyweje? Hy ndo dawa yao wewe
ReplyDelete@anonymous 1. HATA SIKU MOJA USIMTETEE MWIZI, IPO SIKU UTAKUJA KUJUA KWANINI WATU WANAPIGA MWIZI BILA HURUMA. AU HUJAWAHI KUIBIWA WEWE?????
ReplyDeletePengine hirizi ina kazi tofauti na hiyo mnayoitangaza kwa uma bila ya ufahamu.
ReplyDeleteHii Sayansi ya Kiza pana umuhimu kaondolewe kale kausaanii ka kumuhusisha au kumuingilia BOSI wetu Mkuu Mungu halafu ikaingizwa ktk Vituo vya Kisayansi na UTAFITI kama MUHIMBILI, DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) NA ARUSHA TECH!
ReplyDeleteKwa mtaji huo maendeleo ya Sayansi na Tekinolojia tutakosa kweli?
Bongo kwa mganga ni kuanzia waziri hadi kibaka na sijui imani hizi za kibongo tulirithi wapi
ReplyDeleteDuhhh mtezameni Mdosi 'Mhindi' picha ya chini kushoto mwenye shati nyeupe anavyolishangalia 'DUMANGO' (kamba la hirizi) ni macho tochi balaa.
ReplyDeleteMhindi Duka, Mkonongo Ndumba!
Ama kweli kila mtu na Kipaji chake!
Ebo?
Ngoma imedunda!
ReplyDeleteBabu kamdanganya Mwizi?
Babu alimshauri afanye kazi baada ya muda wa Futari yeye Msela akazama mtamboni mchana kweupeee!
Au mwizi amevunja mashariti na Babu labda?
HUyo ndio kibaka tu wa simu za mikononi? je wezi wa mabenki na kuvamia majumba ya watu si ndio wanatembea na vichwa vya zeruzeru?
ReplyDeletehaya Tanzania hoooooyyyyyreeeeeeeee
mdau london
Ha ha ha watu bwana hata hawajuwi kutafautisha Baina ya Mdosi na mwalabu sijuwi wanatokea wapi?
ReplyDeleteukiona mtu anamhurumia mwizi hajadhurika huyo...kwa sis yalotukuta no mercy at all
ReplyDeleteLakini wewe uliesema Kuna muindi mimi nimezoom hiyo picha jamaa sio muindi usiropoke tu kwani mbaguzi?
ReplyDeleteMsela (mwizi) amevunja mashariti!
ReplyDeleteBabu alimpatia huduma ya tiba muda kabla ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu kuingia akamsisitizia kuwa asifanye kazi ndani ya Mfungo lakini Msela akadharau hilo!
Babu ahhh, yeye mwezi kuingia tu yupo Likizo na alisimamisha huduma zote!!!
Mwenyezi Mungu akiombwa hutoa!
ReplyDeleteIsipokuwa jamaa mwizi amebugi baada ya kuiba ndani ya kipindi cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu!
Ndio maana 'msala umechanika' na kapata kipigo.
Duhhh uwezo wa Kisayansi una kikomo, kama hapa uchawi umegonga mwamba!
ReplyDeleteDuhhh ndio pale unashuhudia punda anashindwa mzigo anakaa chini!
ReplyDeleteUwezo wa Kisayansi una kikomo chake, kama hapa sasa jamaa amekuwa akiwaliza watu kwa msaada wa uchawi na leo sasa imefikia ukomo na 'msala umechanika' aibu!