Ajali imetokea saa moja iliyopita ktk barabara ya Nyerere Road karibu na AfriCare na kiwanda cha Peps jijini Dar es salaam baada ya dereva wa gari ya fuso ya kichina (jiafeng) iliyobeba maji masafi kupiga 'No-linda' kuingia kulia bila kuangalia gari zinazotoka moja kwa moja airport..hakuna aliyepoteza maisha. Ila kumeguka kwa bodi ya lori hiyo kumezua hofu zaidi kwa wananchi juu ya magari yenye ubovu huo kuruhusiwa kutumia barabara zetu.
Home
Unlabelled
no-linda yasababisha ajali jijini Dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mambo ya China hayo...nunueni magari ya ukweli
ReplyDeletechezea china wewe!
ReplyDelete