Home
Unlabelled
pole kwa wazanzibari na wanamuziki mchanganyiko
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
"INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN"
ReplyDeleteLa MOLA halifutiki, katu panga nae 'dili',
Lopanga halikwepeki, kheri shari tukubali,
Na milele hatubaki, sote rudi kwa JALALI,
WALAZE PEMA MALIKI, LOFIKWA HII AJALI.
Pia hongera kwa vijana wote (Wanamuziki Mchanganyiko) walioweza kufikisha ujumbe wao wa POLE na maombolezo kupitia wimbo wao huo, very emotional. YARABI walaze pema peponi wote walipoteza maisha yao katika ajali hiyo -AMEN.
Ok majority walikuwa ni wazanzibari, lakini na wa bara pia waliteketea kwenye ajali hii, it should have been pole pole wazanzibari , pole pole wa bara.
ReplyDelete