Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini Kgalema Motlante wakati mgeni huyo alipomtembelea Rais.kulia ni makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini Kgalema Motlante(kushoto) ikulu jijini Dar es Salaam.Kulia nia Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal(picha na Freddy Maro)
kweli nabii hatambuliki kwao; enyi watanzania oneni namna makamu wa rais wa afrika kusini alivyo mwamkia Rais wetu tizameni heshima hiyo...
ReplyDelete