Waziri Mkuu, mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Hospitali ya Maria Mama wa Kanisa ya Enduimet mkoani Arusha 8, Julai 2012.Kushoto kwake ni Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha Mhasham, Josephat Lebulu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi balozi wa Uholanzi nchini aliyemaliza muda wake wakati alipokuwa akiaga, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Julai 8, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...