Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,(wa pili kulia) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda, na Viongozi mbali mbali wa vyama na Serikali,katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar, wakati alipokuwa akirejea Nchini,akitokea nchini Uimgereza kwa ziara maalum,katika safari hiyo alifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa vyama na Serikali,katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakati alipokuwa akirejea Nchini,akitokea nchini Uingereza kwa ziara maalum,katika safari hiyo alifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa vyama na Serikali,katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakati alipokuwa akirejea Nchini,akitokea nchini Uingereza kwa ziara maalum
nimewahi kuona comments za wazanzibar wengi wakimcheka pinda kuwa ana sura mbaya. Je huyo seif ni handsome?
ReplyDeleteAnon. wa kwanza hapo juu. Mbona 'Ze Komedi' walimuigiza na kudai uonekano wa sura yake hiyo ni kutokana na ZOEZI LA HASIRA wakati akiwa jeshini. Je, hao utawambia nini, usiangalie upande mmoja wa shilingi madhali huna ushahidi wa kutosha.
ReplyDelete