Rais mpya wa Klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es Salaam, Ambrose Nshala (katikati) akipongezwa na Rais aliyemaliza muda wake, Dk. Emelia Mugonzibwa katika hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Bi. Stella Longway mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya urais wa Rotary barani Afrika
Rais mpya wa Klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es Salaam, Ambrose Nshala (katikati) akipongezwa na Rais aliyemaliza muda wake, Dk. Emelia Mugonzibwa katika hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Bi. Stella Longway mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya urais wa Rotary barani Afrika.
Rais mpya wa Klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es Salaam, Ambrose Nshala (wa tatu kushoto) akiwa pamoja na baadhi yha viongozi wa Rotary hafla ya kumsimika kuchukua nafasi hiyo katika sherehe zilizofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Rais mpya wa Klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es Salaam, Ambrose Nshala (kushoto) akicheza muziki pamoja na baadhi ya wanachama wa Rotary katika hafla ya kumsimika kuchukua nafasi hiyo katika sherehe zilizofanyika jijini Dar es Salaam jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...