Home
Unlabelled
Solo Thang atoka na kibao chake kipya kiitwacho Miss Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii video hata sihelewi. Sasa huyu bibie ni hooker au vipi?. Halafu video yote sehemu hiyo hiyo mbele nyuma. Ujumbe hueleweki. Hebu jifuvunzeni kwa kina profesa J, au mzungu kichaa, au Ali Kiba.
ReplyDeletesasa je ulikua wapi muda wote huu, huyo ndio wewe tunaekujue sio unatupigia mamiziki ya kizungu sio kizungu bali vurugu tupu, hizi ndio nyimbo zako lazima urudi kwenye chati yako ya zamani, kazi nzuri man big up
ReplyDeleteSasa hapa ndio utakapoona watu wenye kujua uandishi wa nyimbo, Kama anazungumziwa Miss Tanzania vile kumbe inazungumziwa Tanzania NCHI inavyotendwa kama binti asiyetulia. Hongera sana Solo Thang kwa kufanya watu waisikilize mara mbili il wakuelewe
ReplyDeleteWema Sepetu inamuhusu hii.
ReplyDeletekaka kwa vina nakuheshimu, hii video umetengenezea wapi, nilisikia uko majuu kaka, ila video kiwango chake kiko chini sana, hata demu mwenyewe havutii kabsaaa, ila big up ndo kupanda ngazi huko, usikate tamaa, next video tumia hela kaka, tuonyeshe kama uko another level
ReplyDeletenimependa mashairi na ujumbe umefika, safi sana Solo
ReplyDeleteKazi na utunzi mzuri. Kwa mtu anaye jua kutafakari humzungumzii mwanamke ila unazungumzia NCHI YA TANZANIA. kuanzia ukoloni, nyerere, Mwinyi, uFISADI, mADINI NA mLIMA KILIMANJARO TULIO NAO. Ila next time jaribu kufanya video ambayo inalingana na unacho kiimba, e.g weka Ml. kilimanjaro, symbol ya Madini, Ikulu, Mafisadi, ili watu welewe vizuri.
ReplyDeleteInabidi uchanganye akili kuelewa anacho imba jamani
Kwa ambao bado ujumbe bado haujawaingia:
ReplyDeletehttp://tzhiphop.com/2012/07/relationship-status-its-complicated/
Hapa kaka huna kosa kunzia video mpaka mashairi. Ulivyofanya ni vizuri na umetumia fasihi inavyotakiwa maana unamuachia mwenyewe ategue kitandawili na hapa ndo utamjua wenye akili na wenye kufahamu lugha.Akili nyewe ..................? Kaka umenena big up keep it up waache walio zoea nyimbo zao mapenzi na kimalavidavi .
ReplyDeleteAti mtu anasema inamuhusu wema sepetu dah!!! kweli Watanzania tuko nyuma mpaka lugha yetu.
Video nadhani hakufanyia tz may be huko alipo kitaani
ReplyDeleteDuh!
ReplyDeleteKaka nimesikiliza hii track vizuri,, U must be genius mzee
I thought U are talking about a girl, it turns out U are talking about TANZANIA as a country.
Extreme creativity and high level choice of words.
It needs wisdom to understand what U say
Big Up bro
A really nice location..., but the rest??!
ReplyDeleteThis is excellent, daaa nilidhani Demu ila katikati nikagundua ni Tanzania, very creative, Big up man
ReplyDeleteKweli ndugu nimekuvulia kofia unajua kuufikisha ujumbe! Sasa ni jukumu letu vijana kuchukua hatua ili kumnusuru demu asimalizwe manake akifa sote tumekufa. Angalia lakini wasije "wakakulimboka".
ReplyDeletehakune ujumbe wenye maana, mi naona ni mitusi tu humu ndani..mara wamekubaka Tabata, mara wamekubaka gongo la mboto na ukijamba ...jamani, yaani mtu umekaa kimya unaibuka na nyimbo ya ajabu.wanaokusifia wanakusifia kwa kuwa ni mshikaji uliyewahi kutoa nyimbo kali,ila hii hakuna cha kuvutia humu.soma nyakati.
ReplyDeleteGoodjob ma men.ths is a very educative lyrcs.imetulia.Nchi yetu Tz inakila sababu yakujivunia kwatulivyo barikiwa navyo bali wale wanatuongoza ndio wanaotuaribia Nchi jina yetu nakututia umaskini kwa ufisadi wao nakujibinafsisha Mali za Nchi.uongozi wakarne 2 zilzopita Bado ni viongozi mmpaka sasa.hivyo hakuna mabadiliko yatakayo fanikiwa kwavile baado wana mtazamo wa enzi za zama.kilichobaki ni kusuburi wazeeke wangatuke au watanzania waamke na kuelimika zaidi ili kufanya mabadiliko hayo.Nchi Tz inaitaji serikl mpya miundombinu mpya na viongoz wapya vijana wenye mtazamo wa maendeleo sasa na baadae.Umaskini tulionao sasa niwakujitakia wenyewe.God Bless Tanzania
ReplyDelete