Familia ya marehemu Mzee Epaphrodito Mandari inasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpenzi Bibi Louise Mandari kilichotokea tarehe 21 julai 2012 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam.
Mazishi yanatarajia kufanyika katika makaburi ya kinondoni jumanne tarehe 24 julai 2012. Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...