Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Dangio Kaniki (kulia) akiwakabidhi fedha taslim wanawake wa Dar Indian Women Association (DIWA) kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kuwasaidia wanawake hao ambao anajishughulisha na shughuli za kusaidia wanawake mbalimbali hapa nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2012

    Dangio Kaniki,

    Pole na majukumu ya kikazi!

    Ni mimi Mgosi wa Kaya,

    MWANAUME KUTOKA TANGA

    Ni kiasi cha salamu Wadau msianze kunitolea mimacho mwenzenu nasalimiana na dada wa nyumbani!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...