Huyu ni muuzaji wa Mahindi mabichi katika moja ya vijiji vilivyopo mbele kidogo ya mji wa Segera Mkoani Tanga,kiukweli ufanyaji wa biashara wa huyu mtu na wengine wengi katika maeneo hayo ni wa hatari sana,maana anatokea pembeni mwa barabara huku akielekea barabarani kwa spidi sana kiasi kwamba kama hauko makini barabarani waweza poteza muelekea kwa kutaka kumkwepa,na mbaya zaidi ni kwamba anasimama barabarani kabisa huku akiwa hana tahadhali ya magari ya upande mwingine.
Home
Unlabelled
UFANYAJI BIASHARA WA NAMNA HII NI HATARI SANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ankal ni kweli kabisa mimi nilishuhudia mwenyewe wakati natoka Tanga wiki iliyopita yaani hao vijana wanajitakia matatizo tu yaani wanajitokeza barabarani na hawana mpango wa kupisha
ReplyDeleteThe local 'el matadores', look at his pose, lol! The Spaniards play with bulls, huku Bongo we got fellas who play with cars!
ReplyDeleteMdau asante kwa kutoa picha hii maana hii huwa ni kero kubwa sana katika barabara ya Chalinze-Segera. Huwa napita sana katika barabara ni hatari kwa kweli...
ReplyDelete