Nape akihutubia baada ya kufungua kitega cha milango ya maduka 37 pamoja na kituo cha mafuta"petrol station'' mali ya CCM sumbawanga leo.
Nape akisalimiana na wenyeji wa Sumbawanga waliojitokeza uwanja wa Ndege kumpokea.
Skafu kwa Nape
Chipukizi wakimpokea Nape
Waziri wa Maji na Mbunge wa Mwanga Mhe. Jumanne Maghembe akisalimiana na wakazi na viongozi wa Chama Mkoani Rukwa Ndugu Emanuel Seleman m-NEC (katikati) pamoja na Mzee Abdillah(wa kwanza kulia) waliokuja kuwapokea uwanja wa Ndege wa Sumbawanga mjini, Mhe. Maghembe ameongozana na Mhe Nape Katika Ziara yake hiyo.
Nape akisalimiana na wenyeji wa Sumbawanga waliojitokeza uwanja wa Ndege kumpokea.Picha na Adam Mzee.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Naona hizi Skafu za siku hizi zimezidi madoido, halafu rangi pia zina mapungufu ukilinganisha na zile SKAFU asilia za enzi hizo. kwanza zilikuwa za ukubwa wa kadiri, rangi kwa mpangilio maalum, hiyo hapo naona nyeusi imekosekana, badala yake imekuwa decorated na huo urembo wa njano, halafu kubwaaa! Utadhani mtu unafungwa/kuvalishwa mtandio wa shingo. ma-zigzag na marembo kibao! Tafadhali wahusika, khasa Umoja wa Vijana Tanzania, rejesheni hadhi ya SKAFU kama zilizokuwa zikivaliwa na chipukizi wa miaka hiyooo! kama mmewahi kuziona zilivyokuwa, siku hizi skafu moja katibu mita nzima, haipendezi mnaishushia hadhi kichipukizi.
ReplyDeleteccm mmezidi mno kuiga,
ReplyDeletehadi combat!!
shame upon you dudes!!
combat ni zetu.
Kombat siyo za jeshi?
ReplyDeleteVipi "zenu"?
Wewe mjaleo/mwanakijiji, combat CCM hazikuanza leo au hukumbuki enzi za Young Pioneers na Youth League? Tuseme ulikuwa bado kijijini au ulikuwa hujazaliwa?
ReplyDelete