Kiongozi wa Bendi ya Extra Bongo,Ally Choki a.k.a Igweee akiwa na vijana wake jijini helsinki,Finland wakipunga upepo kabla ya kuaza safari ya kurejea nyumbani.
Wanamuziki wa Extra bongo wakiwa na mashabiki wao wa helsinki,Finland.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kwa kweli nimeishi ughaibuni miaka mingi bila kurudi nyumbani,,hawa vijana wa extra bongo walikata kiu yangu ya muziki wa nyumbani,,nyamwela na wacheza show wengine wanatisha,,hongereni sana vijana,,kazeni buti hivyo hivyo

    ReplyDelete
  2. Picha ya kwanza hao wazungu wafagiaji wanawaogopa! wanafikiri mnataka kuwapora mafagio yao wako stand by kupiga kelele! Wazungu bwana haweatuamini hata kidogo!

    ReplyDelete
  3. hao sio wafagiaji na hayo si mafagio, huna macho? hao ni watoto wadogo na hizo walizoshika ni scooters!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...