Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania,Sabasaba Moshingi akiwaongoza baadhi ya Wateja wa Benki hiyo ‘kujisevia’ futari wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya Posta Tanzania kwa wateja wake iliyofanyika jioni ya leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania,Sabasaba Moshingi (mwenye kilemba) akipata ftari pamoja na wageni mbali mbali waliohudhulia hafla hiyo ya ftali iliyofanyika jioni ya leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mmmh mkurugenzi ilikuwa kazi kwelikweli hadi wamejiinamia.

    ReplyDelete
  2. Futari kwenye meza halafu vijiko kwa uma, futari gani hii!! Halafu hao wateja wako Dar tu, na sisi wa mikoani je au hatujulikani!!

    ReplyDelete
  3. lakini jamani ni kweli kabaisa, kila siku ni dar tu? kwa nini sio kigoma,au tabora? kwa kweli inasikitisha sana, kwa hilo

    mdau Paris, france

    ReplyDelete
  4. @Tue Aug 14, 08:52:00 AM 2012,
    nakubaliana na wewe, futari hizi zinaonekana sio zile traditional, za viazi, mihogo, ndizi, maboga, ambazo ni nzuri na tamu, halafu futari kwenye jamvi bwana, haya mambo ya kisasa, juu ya meza tena kuku samaki sambusa , mmmm sijui, labda ndo teke linalokujia

    ReplyDelete
  5. Kweli Mkurugenzi wa Benki ya Posta na hiyo kanzu na kilemba kweli umetokelezea, umependeza kama umetokea Saudi Arabia!

    Kilichobaki ni kushusha viwango vya Riba kama ujuavyo inakuwa hati hati kwa Misingi ya ki-Dini!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...