Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania,Sabasaba Moshingi akiwaongoza baadhi ya Wateja wa Benki hiyo ‘kujisevia’ futari wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya Posta Tanzania kwa wateja wake iliyofanyika jioni ya leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania,Sabasaba Moshingi (mwenye kilemba) akipata ftari pamoja na wageni mbali mbali waliohudhulia hafla hiyo ya ftali iliyofanyika jioni ya leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.




mmmh mkurugenzi ilikuwa kazi kwelikweli hadi wamejiinamia.
ReplyDeleteFutari kwenye meza halafu vijiko kwa uma, futari gani hii!! Halafu hao wateja wako Dar tu, na sisi wa mikoani je au hatujulikani!!
ReplyDeletelakini jamani ni kweli kabaisa, kila siku ni dar tu? kwa nini sio kigoma,au tabora? kwa kweli inasikitisha sana, kwa hilo
ReplyDeletemdau Paris, france
@Tue Aug 14, 08:52:00 AM 2012,
ReplyDeletenakubaliana na wewe, futari hizi zinaonekana sio zile traditional, za viazi, mihogo, ndizi, maboga, ambazo ni nzuri na tamu, halafu futari kwenye jamvi bwana, haya mambo ya kisasa, juu ya meza tena kuku samaki sambusa , mmmm sijui, labda ndo teke linalokujia
Kweli Mkurugenzi wa Benki ya Posta na hiyo kanzu na kilemba kweli umetokelezea, umependeza kama umetokea Saudi Arabia!
ReplyDeleteKilichobaki ni kushusha viwango vya Riba kama ujuavyo inakuwa hati hati kwa Misingi ya ki-Dini!