Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Huu ni uharibifu wa hali ya juu, ilitakiwa akamatwe hapo hapo na raia, si lazima polisi wawepo. Huu ni mtambo, si gari na hauruhusiwi kutembea kwenye barabara kama hii.

    ReplyDelete
  2. Hii sio sawa kabisa, wa2 hawa ama wana ulewa mdogo, ama wanatumwa kufanya uharibifu huu ili mabosi wao wapate tenda tena, hii si sawa kabisa. Nashauri mamlka husika, zichukue hatua madhubuti ikiwezekana kutengeneza sheria ili watu kama hawa washitakiwe Kisheri. Hili ni Kosa la Jinai kabisa.

    ReplyDelete
  3. JAMANI HII NI ILE BONGO LAND NILIYOIACHA 17 YRS?

    ReplyDelete
  4. Ndio maana barabara zetu zinaharibika mapema kuliko/kabla ya muda... Utakuwa Polisi wanaziacha zinaenda, watu wa Wizara hawawezi fanya doria kila mahali na kila wakati...inatakiwa kuwepo kwa faini kubwa kwa uzembe wa namna hii...swali kubwa ni, je kuna sheria ya kudhibiti hali hii??? Mheshimiwa Waziri mwenye jukumu, inabidi uanze ongea na fuatilia vitu vya namna hii, tumejenga barabara kwa pesa nyingi kisha wazembe wanafanya uharibifu....

    ReplyDelete
  5. WATANZANIA TUNALALAMIKA SANA JUU YA SISI KUENDELEA. LAKINI MOJA YA VIKWAZO VYA MAENDELEO NI UBINABSI WA NAMNA HII. MADHARA ANAYOSABABISHA KATIKA BARABARA HIYO KWA MUDA HUO NI MADHARA AMBAYO YANGESABABISHA NA MAGARI ZAIDI YA 50 YA UZITO UNAOTAKIWA NA BARABARA HIYO TENA KWA MUTA HATA WA MWAKA. YAPO MAGARI HUSIKA KUBEBA MITAMBO HIYO LKN UBINAFSI WA KUTAKA FAIDA IWE KWAKE TU NDO INFANYA AWE MBINAFI HATA KATIKA KUCHANGIA UHARIBIFU. HAPO NI SAWA NA KUSEMA AKILI NDOGO INAITAWALA AKILI KUBWA.

    ReplyDelete
  6. MOJA YA MATATIZO KATIKA TANZANIA YETU NI UBINAFSI. YANI HUYU JAMAA AMEKUWA MBINAFSI HATA KATIKA UHARIBIFU. MADHARA AMBAYO YANGESABABISHWA NA MAGARI STANDARD ZAIDI YA 50 KWA MUDA WA MWAKA ANAYAYANYA MWENYEWE TENA KWA MASAA. HUU NI UBINAFSI ULIOKITHIRI. YANI SIYO NGAZI ZA JUU WALA ZA CHINI.

    ReplyDelete
  7. Huyu Bwana anaharibu barabara. Anatakiwa apakie kwenye gari kubwa ili usalama wa barabara uzingatiwe.
    Nonino

    ReplyDelete
  8. Hao wasubiri tu kufutwa kazi na magufuli

    ReplyDelete
  9. Huyu Mh. magufuli analionahilo, je watendaji wa mamlaka za barax2 wapo? na hii siyo mara ya kwanza iliwahi kutokea dar hatjui hatua zilizochukuliwa. jamani watendaji acheni kumuangusha JK

    ReplyDelete
  10. jamaa kaliiba toka juzi hajafika.
    hahahhahah.
    anaharibu barabara.

    ajabu ni kwamba, haya yanatengeneza ytheni yakipita baadae maswali kibao

    ReplyDelete
  11. hapo vp kuhusu nini?

    kama hilo dubwana kutembea juu ya barabara hiyo imetengenezwa na hao na hayo madubwana ndio yanayotengeneza hizo barabara.

    ReplyDelete
  12. usishangae mdau. anaiimarisha zaidi barabara

    ReplyDelete
  13. Yaani huo ni uharibifu mkubwa wa barabara. Barabara huwa haishindiliwi mara mbili matokeo yake ni kuimomonyoa na kusababisha mashimo. Na ndio mwanzo wa kuanza kupata mahandaki kwenye barabara zetu. Nashauri compactor hizi na aina yake ziwe zinabebwa kupelekwa kwenye eneo la tukio. Huyo dereva yeye anajua kuendesha tu lakini mechanism yake hajui. Kwa mantiki hiyo mkandarasi anawajibika kusimamia taratibu za kupeka zana zake eneo husika na kuzirudisha bila kusababisha athari.

    ReplyDelete
  14. hapo ni bangi inafanya kazi, tunalia hatuna barabara lakini jinga kama hilo linabana matumizi ya 500,000 kuharibu barabara ya bilioni moja.

    haya mambo hutokea tanzania tu, hakuna sehemu nyingine duniani.

    ReplyDelete
  15. hatari sani mdau toka buja

    ReplyDelete
  16. Nimebaki mdomo wazi

    ReplyDelete
  17. hamna noma lami kashindilia mwenyewe, mwache atanue!

    ReplyDelete
  18. anatengeneza barabara au wewe huoni michuzi

    mdau iraq

    ReplyDelete
  19. Kimsingi hafanyi uharibifu wowote katika barabara husika zaidi ya kuleta msongamano wa magari na kuhatarisha usalama wa watumiaji wengine wa barabara,hamjui hilo dubwana ndilo lililotumika kujenga hii barabara. Naona wadau mmeng'aka utafikiri............

    ReplyDelete
  20. Kama anatengeneza barabara sawa,lakini kama anapuyanga tu hii picha ungepiga vizuri ili plate number isomeke vizuri harafu watu tuna ripoti ni rahisi tu.
    Mambo ya kulalamika lalamika na kutegemea magufuri kama hata kazi atembee barabara zote wakati wote au idara fulani au polisi wakati nchi na barabara ni yetu ni uzembe. mambo yakutoa ushauri ili "mtu" mwingine afuatilie ni uzembe.
    Tatizo tumeliona labda mimi macho yangu sio fresh lakini kama mkiniambia namba na print picha na link ushahidi tosha napeleka polisi, tena nakaa karibu na kituo.
    Mimi mambo haya uwa nachukua hatua tu, nilikuwa kwenye basi toka Moro dreva akawa anatoka mbio nikamwambia si sawa apunguze, basi baadhi ya watu na dreva wakanijia juu.Kufika ubungo moja moja nikaenda polisi tena mbio jamaa kabla hajatelemka vizuri akakamatwa na polisi na kuwekwa chini ya ulinzi.
    Mimi ni kuchua hatua tu, matatizo yetu ni mimi na wewe kuchukua hatua. BADIRIKENI
    kama hauchukui hatua hakuna mtu atachukua hatua mapema ukilielewa hili mapema utafanyikiwa wewe na nchi yako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...