Home
Unlabelled
je unahitaji kutengenezewa keki yako ya aina yoyote?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sorry mbona finishing touch mbaya! Sijazipenda kabisaaaaa
ReplyDeletebado sana hazina finishing nzuri angalia cake za monica au tambaza finishing zao hujafikia kiwango ata kidogo hizi ata mimi natengeneza ambae cjui
ReplyDeleteIli tuweze kukusaidia dada Angela, na mimi naomba niwe mkweli. Kama alivyosema mwenzangu hapo juu kuhusu finishing ni kweli kabisa. Finishing ni kitu muhimu sana kuhitimisha kazi yako. Hiyo plate ya chini ya kushikia keki yako inabidi uiongezee thamani, haijakaa vizuri kabisa. Raha ya chakula kiwe katika sahani nzuri.
ReplyDeletePili, keki lazima ziwe na mvuto. Hiyo keki ya kwanza, hiyo ndefu inaonekana bayana kuwa imepinda. Haileti picha nzuri. Hiyo keki ya pili iliyokaa kama kombe lililoangalia chini, haijulikani hasa kuwa ni kitu gani.Kisha rangi yake si nzuri kabisa, imekuwa kama parachichi lisiloeleweka. Vilevile, hayo maneno sina hakika yanasema nini kwa kuoanisha na hiyo keki.
Vilevile, naomba uzingatie rangi katika keki zako. Rangi huvutia mteja na kumfanya afanye uamuzi sahihi wa bidhaa yako.
Keki zilizofiata ni nafuu, lakini ninakusihi sana uzingatie ushauri nilioutoa kwa nia njema tu.