Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Mh. Freeman Mbowe akimtambulisha kwa wanaharakati  Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari wakati wa ufunguzi wa harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar.
 Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari.
 Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha,Godbress Lema akihutubia 
 Wanaharakati mbali mbali waliojitokeza kuhudhuria hafra hiyo.
Picha na Kajunason Blog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. WACHAGA MWAKA WENU HUU MUNGU AWAPE NINI TENA.....

    ReplyDelete
  2. Hapa mnafuturu au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...