Balozi wetu Sauzi Mhe Radhia Msuya (mwenye kente kati) akipozi  na Jumuiya ya WaTanzania waishio Afrika ya Kusini Mara baada ya uchaguzi wa viongozi wao.

 Balozi akiwa na Mama Fatuma Ally
 Bw. Ibrahim Bukenya ndiye aliechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya waTanzania nchini Afrika ya Kusini. 
Bw. Adam ambaye ni mpishi maaruf alipata fursa ya kuteta na Balozi
 Balozi akiwa na viongozi waliochaguliwa
 Balozi Radhia Msuya akizungumza na Jumuiya ya WaTanzania waishio Afrika ya Kusini Mara baada ya uchaguzi wa viongozi. Aliwaasa wadumishe umoja ili wasaidiane wakati wa shida na kufurahi pamoja wakati wa furaha. Ailwaasa wafuate sheria za nchi na kukumbuka kuwekeza nyumbani. Balozi aliwahimiza wajihusishe na michakoto Mbalimbali ikiwemo mjadala wa kurekebisha Katiba.
 Bw. Hamza Omar Mokiwa msimamizi wa uchaguzi akitoa maelekezo kwa wanachana wa Jumuiya Ya WaTanzania wakati wa  kupiga kura.
 WaTanzania walipata fursa ya kueleza mutatizo yanayowakabili wanapofika Ubalozini. Balozi aliahidi kushughulikia kero za na kudos namba yake ya simu ili iwe rahisi kupata msaada ikihitajika. Baadhi Yao walipata fursa ya kuonana Ana kwa ana na Balozi ili kueleza shida za binafsi. 
 Mie nashukuru kusikilizwa na Balozi anasema mwanajumuiya
 Mie shida yangu ni hii...anaambiwa Balozi kwa maandishi
Balozi akipokea shida kutoka kwa mwanajumuiya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kwenye hiyo picha ya tano kutoka juu, mstari wa kwanza mbele, huyo dada wa pili kutoka kulia, is it the girl ambaye alisoma Tambaza miaka ya 96-97? Kama ndio yeye then I once cried for her jamani....

    ReplyDelete
  2. ndo yeye alisomaa Tambaza..............anakaa Sandton, Johannesburg

    ReplyDelete
  3. When you Cried, how did it help change the situtation?

    ReplyDelete
  4. It was 97 I think, I was going away for a very long time kwahiyo when the plane was lifting off, nikamkumbuka na machozi yakanitoka.
    But I guess she is married now so enough of these stories, just glad that nimemuona after a very long time.

    ReplyDelete
  5. Mbona wengine waliochaguliwa wala siyo watanzania! Did you actually check their passports before elections?

    ReplyDelete
  6. Mimi ni mtanzania nipo hapa johanesburg, ninauliza mwaka huu mtakuwa na kikao lin?or any gathering

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...