Dear Ankal,
Ramadhan Kareem,
I would like to write in both English and Kiswahili to reach more Tanzanians (and may be Malawians) on this issue. It is about the alleged border between Tanzania and Malawi at the Lake Nyasa area, why not bring the matter to the International Court of Justice [ICJ]?
This is a UN Court based in The Hague the Netherlands [not ICC]. For two peaceful neighbours like Malawi and Tanzania, the best way to maintain our good relations is to have this matter resolved legally and agree to RESPECT the findings and decision of the ICJ.
Kiswahili:
Ili kutunza ujirani mwema na mahusiano yaliyoko kati ya watanzania na wamalawi, nashauri swala hili la mpaka katika Ziwa Nyasa lipelekwe International Court of Justice (ICJ) ambayo ipo The Hague Uholanzi. [ni tofauti na ICC, ambayo ni mahakama ya kimataifa ya Jinai]
ICJ itakapo toa uamuzi basi nchi zote mbili ziuheshimu. Ni bora kuwa masikini na amani kuliko kuwa na mali wakati chokochoko haziishi.
Asante sana kwa kuniweka tena bloguni
Mdau


Kwani kila mgogoro wa wafrika lazima uperekwe katika mahakama za Den Haggue ? hili ni swala la wafrika kukaa na kutafuta muafaka ! hao hao so called Mahakama ya kimataifa ndio chanzo cha migogoro ya nchi changa,
ReplyDeleteWafrika lazima tutafute suluhisho la matatizo yetu sisi wenyewe.
Kulikua na mogogoro wa maji ya lake victoria ,Misri hilikua inaleta nongwa kwa kutumia maji mengi,Tanzania,kenya na uganda zilikua heti haziwezi kutumuia maji bila ya ruhusa ya Misri,kutokana na mkataba uliowekwa na wakoloni !
Lakini Tanzania tulipata uvumbuzi na sasa tunatumia maji
Firstly,JWTZ should get 'em out of town before going the court ili siku nyingine wawe na Adabu(Natania-Mahakama ya kimataifa ndiyo suluhisho).
ReplyDeleteDavid V
Kama mataifa makubwa yamekwisha weka deal za mafuta na gesi na Malawi, unafikiri hizo mahakama zitaamua nini? Kama wenzetu wamekwishaanza kututimua, hakuna cha kujadili. Tunapaswa kuanza kusogeza vifaru vyetu taratiibu mpakani ili kulinda heshima na mipaka tunayoamini kuwa ni mali yetu!
ReplyDeleteNakubaliana na wewe hakuna haja ya kupanic. tena serikali iwahi mahakamani badala ya kujibizana na hawa wamalawi wanaojitia vichwa ngumu. Sitaki vita kabisa hasa baada ya madhara yaliyotokana na vita dhidi ya Idd Amin wa Uganda!!
ReplyDeleteUnajua wamalawi ni wajuaji sana...ninyi hamwajui. Na ukweli ni kuwa watakuwa wanatumiwa na taifa fulani kudai huo mpaka. Wao peke yao hawana jeuri ya kuigusa Tanzania...tutawatandika na kutokea upande wa pili in two weeks time. Wekeni majeshi mpakani muone wasipofyata mikia yao...!!
ReplyDeleteMalawi hawaswezi kujimilikisha Ziawa kwa sheria za Mkoloni.
ReplyDeletePana sheria za UN ambazo ndio zinatoe mipaka ya majini.
Nchi zinatakiwa zigawane kwa mgawanyiko mipaka ya majini:
''The UN law insist that world's heritage are to be shared among nations''.
Hakuna sababu ya kuyashughulisha Majeshi yetu kwa vita za kijinga kama hii.