Kaimu Mkurugenzi wa Ajira,Bibi Marietha Mcha (aliyesimama) akizungumza katika mafunzo ya siku tano ya namna ya kuhuisha ajira na kazi zenye staha katika mipango ya programu za maendeleo ya serikali yanayofanyika Kibaha kuanzia tarehe 13-17 Agosti, 2012.
Washiriki wakiwa katika mafunzo ya siku tano ya namna ya kuhuisha ajira na kazi zenye staha katika mipango ya programu za maendeleo ya serikali yanayofanyika Kibaha kuanzia tarehe 13-17 Agosti, 2012.
Washiriki wa mafunzo ya siku tano ya namna ya kuhuisha ajira na kazi zenye staha katika mipango ya programu za maendeleo ya serikali yanayofanyika Kibaha kuanzia tarehe 13-17 Agosti, 2012 wakiwa katika picha ya pamoja.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...