Baadhi ya washiriki wa mashindano ya mbio za Baiskeli Kanda ya Ziwa ya ziwa yanayodhaminiwa na Safari Lager wakijiandaa kuondoka kwenda Kahama na kurudi katika Uwanja wa Kambarage ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku Kuu ya Wakulima ya Nane Nane mkoano Shinyanga.
Washiriki wa Mashindano hayo waliendelea kuchanja mbuga kuelekea Kahama na baadae kurejea Shinyanga mjini.
Waendesha baiskeli wanawake ambao nao hawakuwa nyuma katika kushiriki mbio hizo waki tayari kwa safari ya kwenya Kahama na kurudi Shinyanga mjini kwa baiskeli.
Mwendo umekoleoa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. i love shinyanga to death, a true sukumaland and the home of Bagosha ba nhana hapo nimemkumbuka mzee mmoja R.I.P Magadula Ndanya alikua champion wa mashindano ya Baiskeli(Mwenyezi mungu Amrehemu Amina)jambo moja nimesikitishwa sana kwa serikali kuugawa huu mkoa na kuzaliwa simiyu..this is not right tumepoteza Symbol muhimu ya uzawa. Myself i was born in shinyanga region but as of now my birth place has been changed to simiyu region according to the partition of shinyanga.
    Inabidi vitu muhimu kama hivi wabunge wawe wanapiga kura na si kila kitu raisi akisema basi kinafanyika, we have a dire need to put this one on the new constitution.
    Mdau U.S.A

    ReplyDelete
  2. Kweli Shinyanga kuna wanawake wazuri ,kama ndo hivi !!!!! na ukija usiku wa manane eti umelewa,baba watoto cha moto lazima utakiona -lazima aku kwide tu. Na huko hakuna cha salon wala nywele za bandia,ni ile kipilipili cha ngombe yenyewe.

    ReplyDelete
  3. Upuuzi mtupu mbona hamjakwenda kushiriki olimpiki kama kweli mnaweza,wasting time,you are all rubbish.

    ReplyDelete
  4. duh! baskeli gani sasa hizo? mdau toka buja

    ReplyDelete
  5. Mshindi ashiriki tour de france nasiokuishia kujishindia pesa.
    Mdau UK

    ReplyDelete
  6. Mwanzo mgumu kodogokidogo tu tatashinda olimpiki

    ReplyDelete
  7. ujinga mtupu. mbona hakuna hata muwakilishi mmoja London olympic 2012

    ReplyDelete
  8. anonymous hapo juu kwani unafikiri walioenda Olimpic walijikuta tu wako huko??? walianzia huko huko nao ndo wakafika....there's no shortcut bandugu???? be open-minded...michezo ni starehe pia not necessarily uende Olimpik

    ReplyDelete
  9. i saw these guys jana ,on my way back .kwakweli ilikuwa inafurahisha kwa namna yake ,na watazamaji walikuwa excited sana tu.we mjuaji wa olimpik hicho kipande cha kahama shinyanga ni parefu na full vilima na kama uonanyo jamaa wanaendasha phonex mkulima si baiskeli mteremko,acha ushamba.embrace na vyakwenu

    ReplyDelete
  10. Basikeli hizo ni made in Shinyanga and for Shinyangans,ndiyo maana ya kutunza ajira na siyo kukimbilia UK. Taifa litajengwa na waTanzania wenyewe,namsilete kabisaa basikeli zenu za mitumba kutoka Uchina,hatuzitaki ,haziwezi milima .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...