Mbunge wa Jimbo la Kilosa Mustafa Mkulo (kulia) akipata maelezo mafupi kuhusu shughuliza Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) jana mjini Dodoma kutoka kwa Meneja wa Uhusiano wa CMSA Charles Shirima (katikati) wakati Mbunge huyo alipotembelea maonyesho ya nanenane.
Mbunge wa Jimbo la Kilosa Mustafa Mkulo (kushoto) akisaini kitabu cha wageni jana mjini Dodoma alipotembelea banda la Wizara ya Fedha katikati maonyesho ya nanenane.
Mbunge wa Jimbo la Kilosa Mustafa Mkulo (kulia) akipata maelezo mafupi kuhusu shughuliza Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Wizara ya Fedha jana mjini Dodoma alipotembelea maonyesho ya nanenane.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hata aibu hana kwa wizi alioufanya na ana majumba mpaka Canada. Mungu yupo ,na kila mbwa ana siku yake.

    ReplyDelete
  2. Kakumbuka ofisi yake ya zamani!!

    ReplyDelete
  3. Che GuevaraAugust 09, 2012

    Hivi kamna wazee kama hawa tuliowaamini wanakuwa ndio MAJAMBAZI wa fedha zetu tumwamini nani? ni AIBU! AIBU! shame upon you and your family!

    ReplyDelete
  4. May be its a strategy for coming back...... Lakini huyu Mheshimiwa alikuwa na maringo jamani, duh! Ila tumwache tu jamani, kwani watu kama hawa walio-abuse dhamana zao kwa kuomwongezea umaskini mtanzania wa kawaida, wanaishi katika masononeko makubwa sana...nyie hamjui tu!

    Huwa wanapata usingizi kwa kutumia Valium jamani, nyoyo zao zinawasuta sana kwa kuwa, kwa sasa hakuna wanachoweza kufanya ili kurekebisha madhambi yao zaidi ya kuishi na "laana" walizojichumia wakiwa madarakani.

    Angalia wote, kina Mzee wa vijisenti, yule mwenye nywele "nyeupe", wengine wale waliokuwa vizito Hazina na bado hata kesi zao hazijahukumiwa mahakama ya Kisutu....... They are all miserable old men. Ming'ao ya nyuso zao imekwisha na kubakiza "fake smiles" .....

    Walisahau ule msemo usemao, what goes around, comes around! Ole wao!!!!,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...