Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geofrey Nyange Kaburu (kushoto) akimkabidhi Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (kulia) tuzo ya heshima kutokana na mchango mkubwa wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager katika mafanikio ya klabu hiyo. Tuzo hiyo imetolewa leo wakati wa sherehe za siku ya Simba (Simba Day) inayoadhimishwa leo hii kwenye uwanja wa Taifa wa jijini Dar. Anayeshuhudia ni Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Profesa Philemon Sarungi. (Picha: Executive Solutions)
Home
Unlabelled
Kilimanjaro Premium Lager yapewa tuzo ya heshima katika maadhimisho ya Simba Day leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Hao Wachaga Nyange na Kavishe wameshavamia timu yetu watu wa pwani??
ReplyDelete