Mdau na mwanalibeneke mkuu wa mtandao wa mkandawilejr.blogspot.com Raymond Mkandawile katika taswira mbalimbali za siku ya kihistoria ya tarehe 4/08/2012ambapo yeye na Bibie Janeth Manongi walimeremeta huko jijini mbeya katika kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania usharika wa Sinai na kufuatiwa na mnuso wa nguvu uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha Teku uliyopo maeneo ya Block T.
Raymond na Janeth wakipeana mawili matatu
wakila pozi
Wakimeremeta
Hongereni na kwa kweli mmependeza!
ReplyDelete