Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Kaskazini B,Mama Asha Suleiman Iddi akiufungua Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Wilaya Hiyo uliofanyika kwenye Ofisi ya CCM Jimbo la Kitope uliopo Kinduni Wilayani humo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Kaskazini B Nd. Ali Khamis Ali akielezea msimamo wao katika kulinda sera za CCM kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya CCM Jimbo la Kitope uliopo Kinduni.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Kaskazini B wakiwa katika Mkutano wa uchaguzi kuwachaguwa Viongozi watakaowaongoza katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...