Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bwana Leornad Thadeo akifungua Mkutano wa wadau uliojadili mfumo wa ushiriki katika michezo na uendelezaji wa vipaji vya wanamichezo nchini.Mkutano huo ulifanyika jana jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa British Council.
Mkurugenzi wa Miradi kutoka British Council Andrew Piner akifunga mkutano wa siku moja uliokusanya wadau mbalimbali kutoka taasisi mbalimbali.Mkutano huo ulijadili mfumo wa ushiriki katika michezo na uendelezaji wa vipaji vya wanamichezo nchini.
Baadhi ya wadau wa michezo nchini wakisikiliza hotuba kutoka kwa mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini Bwana Leornad Thadeo hayupo pichani.Mkutano huo ulijadili mfumo wa ushiriki katika michezo na uendelezaji wa vipaji vya wanamichezo nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...