Assalam Aleykum

Sheikh Yahya Hussein Tahfidh Qur-an & Tajwid Foundation  wakishirikiana na Familia ya Marehemu Sheikh Yahya Hussein inayo heshima kukualika /Kuwaalika Futari siku ya Ijumaa, tarehe 10/8/2012  sawa na Mwezi 21 Ramadhani  nyumbani kwa Marehemu Magomeni Mwembechai, Mtaa wa Kagera na Mikumi saa 12.30 jioni


Swala ya Magharibi itaswaliwa hapo hapo Nyumbani
 Kufika kwako ndio mafanikio ya shughuli yenyewe
  
Wabillahi Taufiq
 Ahajj Maalim Hassan Yahya Hussein
Katibu Mkuu
Sheikh Yahya Hussein Tahfidh 
Qur-an & Tajwid Foundation

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...