Aelezea alianzia wapi muziki, Yeye anafikiri ni kwa nini Bongo Flava haifanyi vizuri Kimataifa, AJ Ubao mbali na kuimba Je anauwezo wa kupiga chombo chochote ? MSIKILIZE
Home
Unlabelled
MWANADIASPORA AJ UBAO ALONGA NA VIJIMAMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mmmmhhh jamaa anaulizwa maswali kwa kiswahili anajibu kiingereza eehh eehh nyingi na to be honest ndio usiseme kama mara mia na most the time kama mara 200 , mshikaji ameshakua Ja Rule. jamaa katoa single 2 ameshakua hivyo je akitoa nyimbo 20 itakuwa vipi?.
ReplyDeletemdau Buzebazeba Kigoma.
Tatizo la wasanii wabongo na hawa wa hapa US ni time management. Watasema show inaanza saa nne usiku wanaingia ukumbini saa saba za usiku halafu wanataka watu wawape support na upuuzi wao. Namkubali King Kiki alipokuja H-Town show ilitakiwa iaanze saa nne usiku yeye alikuwa tayari 9:30pm. Ushauri wa bure be resposible with your craft before asking for support.
ReplyDelete