Aelezea alianzia wapi muziki, Yeye anafikiri ni kwa nini Bongo Flava haifanyi vizuri Kimataifa, AJ Ubao mbali na kuimba Je anauwezo wa kupiga chombo chochote ? MSIKILIZE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mmmmhhh jamaa anaulizwa maswali kwa kiswahili anajibu kiingereza eehh eehh nyingi na to be honest ndio usiseme kama mara mia na most the time kama mara 200 , mshikaji ameshakua Ja Rule. jamaa katoa single 2 ameshakua hivyo je akitoa nyimbo 20 itakuwa vipi?.
    mdau Buzebazeba Kigoma.

    ReplyDelete
  2. Tatizo la wasanii wabongo na hawa wa hapa US ni time management. Watasema show inaanza saa nne usiku wanaingia ukumbini saa saba za usiku halafu wanataka watu wawape support na upuuzi wao. Namkubali King Kiki alipokuja H-Town show ilitakiwa iaanze saa nne usiku yeye alikuwa tayari 9:30pm. Ushauri wa bure be resposible with your craft before asking for support.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...