Wananchi mjini Kongorwila mkoani Morogoro wakiwa katika mkutano wa Operesheni Sangara katika mji wa Kingorwila mkoani Morogoro siku ya Jumamosi. Operesheni hiyo inaendelea ndani na nje ya nchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. sasa watu wenyewe wanaowasikiliza wako wapi,..acheni watu wafanye kazi,..tangia mmeanza hizo ziara zenu kama za kukimbiza mwenge ni kitu gani watanzania wamefaidika?zaidi ya kusikiliza siasa tu

    ReplyDelete
  2. we mdau wa kwanza kwani kukimbiza mwenge watanzania wafaidika na nini? hayo ndio malezi ya kukimbiza mwenge

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...