Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili na baadaye akiongea na wanahabari leo agosti 9, 2012 mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa kimnataifa wa Kotoka jijini Accra, Ghana, tayari kuhudhuria mazishi ya Rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Fifi Atta Mills.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Che GUevaraAugust 10, 2012

    Eh! Kikwete aliunganisha na ya Uganda?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...