Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mkewe Mama Salma Kikwete na familia yake akijibu maswali toka kwa karani wa sensa ya watu na makazi Bw. Clement Ngalaba leo Agosti 26, 2012 wakati alipojiunga na mamilioni ya Watanzania katika zoezi hilo lililofanyika kwa mafanikio makubwa nchi nzima.PICHA NA IKULU

Nyumbani kwake wapi IKULU au mikocheni? Habari haijitoshelezi.
ReplyDeletekungekuwepo na taratibu za kisasa kusingekuwepo na mambo ya kupoteza wakati na hela za walalahoi kwa kuhudumia shughuli za uandikishaji
ReplyDeletemambo ya kuhesabiwa kwa njia hiyo ni mambo ya kizamani sana sasa tupo 2012
kazi hiyo ilifaa kufanywa kule ofisi za uzazi na vifo pekeyake
kila anaezaliwa au anaekufa ingelikuwa anapatiwa cheti kwa muda muafaka basi watanzania tusingehitaji kuhesabiwa kama maembe sokoni.
tunahitaji maendeleo ya namna kama hizo na sio maendeleo anayoyaona ankali michuzi ya vikwangua anga.