Wachezaji wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) wakiwa mazoezini katika Viwanja vya benki ya Botswana kujiandaa na mechi dhidi ya The Zebras ya Botswana ambayo inatarajiwa kupigwa leo jioni nje kidogo ya Mji wa Gaborone,nchini Botswana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwa nini concentration ya picha ni kwa mchezaji mmoja?

    ReplyDelete
  2. Ankal kilio chako kimesikika.Kilio cha wapiga picha kuambatana na timu zetu.Inapendeza.Stars wachezesheni Makhirikhiri hao hadi miguu iwaingie matumboni!

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...