Umati wa Watanzania uliofurika kwenye Tamasha la Dini lililopewa jina la LOVE TANZANIA linaloendelea katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam likiongozwa na Askofu Andrew Palau kutoka Marekani.
Vijana walioongoza na Askofu Andrew Palau wakitoa burudani na mafundisho ya dini kwa njia muziki.
Umati wa watu ukiwa kwenye foleni ya kupata huduma ya chakula uwanja hapo.
 moja ya michezo iliyofanyika kama sehemu ya burudani uwanjani hapo ambapo ilionekana kuvutia Umati wa Watanzania waliohudhuria tamasha hilo.
Vijana, Watoto kwa Wazee wakitazama mchezo wa mapikipiki.
Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Green Waste Pro Ltd akihakikisha swala usafi linazingitiwa uwanjani hapo kama inavyoonekana.
Wananchi waliohudhuria tamasha hilo wakishuhudia mchezo wa Baiskeli.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. MIMI NIKO UGHAIBUNI LAKINI SIJAONA HAWA JAMAA KUFANYA HAYA MAMBO HUKU KWAO, KILA KUKICHA WANATUFUATA SISI NA UMASIKINI WETU AFRICA.

    ReplyDelete
  2. tatizo lako wewe hapo juu ,uko Sudan, kwani na huko Sudan ni Ughaibuni ?? Mambo haya Ulaya yanafanyika sana tena , sasa kama unaona na sisi huku bongo tunafaidi, kaa kimya au rudi.Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  3. Mdau wa 2

    Huko ulaya yanakofanyika sana, inasomeka kama charity show au ni shughuli za kidini za kawaida za mara kwa mara?

    Maana huko ulaya mtu kukufaidisha bure mara kwa mara siyo rahisi.

    ReplyDelete
  4. Mdau wa 3 nakushukuru sana kwa kuniongezea hapo nilipopungukiwa ,naam. Yes huko Ulaya hakuna show ya bure kama hii, this can happen only in Bongoland, ndiyo maana mara zote huko kokobeach huwa wana muziki wanakuja kutoa show bure. Hivyo ninaposema bongo ni peponi, naona sasa nimeanza kueleweka.Mdau ,thank you for your help.Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  5. BURE GHALI

    ReplyDelete
  6. Bado narudi tena leo na maelezo niliyioyawahi kuyatoa hapo siku za nyuma, kuhusiana na comment anazozotoa Zebedayo. Mimi naamini huyu bwana ana chuki na fikra yoyote ya ughaibuni na nasema tena kama aliwahi kuishi ughaibuni na akapigwa patrieshen asiweke chukikwa wale wanaoishi ughaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...