Asalam alaikum wadau.
Napenda kuwajulisha kwamba nimeanzisha blogu maalumu kwa ajili ya muziki wa taarabu. Blogu hii inajulikana kwa jina la Rusha Roho na itakuwa ikielekezea mambo mbali mbali kuhusu muziki wa taarabu, ikiwa ni pamoja na historia ya wasanii wa muziki huo, habari zinazohusu maonyesho ya vikundi mbali mbali vya muziki huo pamoja na uchambuzi
kuhusu mwenendo wa taarabu. Blogu hii inapatikana kwa anwani ifuatayo:
www.ramozaone.blogspot.com
Nawakaribisha wadau wa muziki huo kutembelea blogu hii na kuchangia mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kutoa michango ya mawazo.
Natanguliza shukurani.
Rashid Zahor (Ramoza),
mmiliki wa blogu ya liwazozito.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...