Taswira ya maeneo  jirani na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kotoka jijini Accra, Ghana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Nasikia Ghana ni moja ya nchi zinzokuja juu Barani Afrika.Siyo sana ila kwa kulinganisha na nci zinazo jaribu.

    ReplyDelete
  2. Unauhakika Ankal hii Sio Los Angeles Hapo? Itabidi mie namsela wangu wa Kijiweni Zebedayo tuzuke huko Ghana hawawezi kutunyima Visa.

    ReplyDelete
  3. Che GuevaraAugust 09, 2012

    Jiji limepangika Michu, sio kama hapa kwetu, unajua taizo letu hatuna ma-planner wa miji sana sana WAUZA ARDHI WA MIJI na huo ndio ukweli! kama wapo naomba kumsikia japo mmoja alie DSM mipango yao ni ipi! Hovyo tuu

    ReplyDelete
  4. ANCKO,
    naomba ukiludi bongo utupigie na picha za taswira ya maeneo kalibu na wanja retu ra ndege ra Mwarim Nyerere.

    ReplyDelete
  5. kuna m brazil mmoja toka petro brass alikuja tupa lecture chuo nachosoma huku majuu; anaishi accra kikazi anasema accra ni dubai of africa.

    unajua waghana wako cool; afu kwa sasa wako kwenye middle class country baada ya kuanza kuchimba mafuta.

    i pray na sisi viongozi wetu wawe na wivu wa kuendeleza tanzania na si kushindana kuendeleza koo zao.

    ReplyDelete
  6. inaonekana mji upo kimpangilio sana

    ReplyDelete
  7. lami chacheeee

    ReplyDelete
  8. Unasema lami chache wakati wenzetu wana mpaka lane tatu tatu kila upande, hiyo inaweza kuwa picha ya kajisehemu tu.

    ReplyDelete
  9. acheni upuuzi yaani kwa macho yenu hamuoni huo mji ni kawaida sana kwa ufananisho wangu naona ufananishwe na Dodoma! BTW Michuzi tupe picha za Takradee na Somora pia maana watu washaanza kusudujia wasiyoyajua Ghana kuko kawaida saaana!

    ReplyDelete
  10. kidooogo jiji limepangika lakini barabara nyingi hazina lami ki ukweli ni la kawaida sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...