Home
Unlabelled
taswira mbalimbali za jiji la Accra, Ghana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ya basha restaurant inatia wasiwasi umesalimika anko
ReplyDeleteAnkal, katika hizi picha naona idadi ya watu sio wengi kama mitaa ya bongo. Hali ndivyo ilivyo au umechagua maeneo mahsusi ya kupiga picha? na vipi hilo Freemason Hall?
ReplyDeleteKazi na swaumu njema.
Michuzi umenichekesha sana ndugu mpaka mtoto kastuka chumbani, sasa umeweza kuingia hapo BASHA!?
ReplyDeleteCha ajabu nini sasa hapo, mmeyasahau majina mbali mbali ya miji/maeneo kadhaai ya nchini JAPANI?
ReplyDeleteKwa ujumla mji mzuri, msafi na unavutia kwa kiasi chake, sijuwi hizo chochoro zao na wao zina muonekano upi, hapa naona zimechaguliwa sehem kadhaa zinazovutia, by the way nice pics, akhsante kutuonyesha mandhari ya GHANA ilivyo.
Bei ya wese.........sawa na madafu mawili ya .... Michuzi tumia lugha zinazoeleweka kwa watu wote. Usitumie kiswahili cha mitaani. Hapo unawanyima wengine kupata habari.
ReplyDeleteDuh kama ni hivi kweli wenzetu wameendelea, maana ankal unatembea jijini hakuna hata takataka kama hapa kwetu bongo? najiuliza hivi ni kwa nini tuko useless katika suala zima la usafi hapa kwetu?
ReplyDeleteNini Freemason Hall je BASHA restaurant?
ReplyDeleteSalaleee.... chunga usije ukaingia hapo Basha restaurant.
ReplyDeletetaswira ni nzuri sana, asante kwa kutupa updates
ReplyDelete-Swaum njema
Afadhali kwa wenzetu mafuta bei chee, ngoja nasi tuanze kuchimba mafuta pengine bei itapungua.
ReplyDeleteFedha yao naona ipo juu sana,inaitwaje Ankal?
ReplyDeleteUmekwenda Accra sehemu gani? Jaribu kutembelea mitaa ya 'Kariakoo' ya Accra uone huyo mtu aliyepo, yaani Daresalama hakufui dafu.
ReplyDeleteAnkal nilikuwepo miezi 2 nyuma na pia nilishambuliwa na majambazi.