Mheshimiwa Abdulhaman Kinana akiingia ukumbini akiongozana na viongozi wa tawi la CCM jijini Washington DC. |
Picha ya pamoja ya viongozi wote wa matawi mengine ya CCM kutoka sehemu tofauti za nje ya DC kama Minnesota , North Carolina, New York na Texas. |
Meza kuu na ya viongozi wakiwa wametulia kabisa wakisikiliza risala ukumbuni hapo. |
Mwenyekiti wa tawi la CCM Washington DC, Loveness akiongea kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufanya ufunguzi wa tawi la CCM hapa DC. |
Mh. Abdulahaman Kinana akiongea baada ya kukaribishwa kuzindua tawi la Washington DC |
-
Njaa tupu. Haya matawi ya CHADEMA na CCM ughaibuni ni ya ushabiki tu. Kazeni buti.
ReplyDeleteJamani WE DO NOT NEED HIVI VYAMA VYA SIASA HAPA DMV!! NYIE MNAOBEBA MABANGO YA CCM NA CHADEMA KWA NINI HAMRUDI BONGO MKAENDELEZE MIKUTANO JANGWANI. Nani hapa Marekani want to deal with african political party?? Imarisheni NGO na umoja wa watanzania ndiyo utatuletea maendeleo. What are you getting out of vyama zaidi ya majungu, chuki and makundi yasiyo na mbele wala nyuma. Miaka yote hapa DMV tumejumuika kama WATANZANIA NA SI WANA CCM, CUF, CHADEMA. Just think of it wote sisi haturuhusiwi kupiga kura huku nje kama wenzetu wamarekani. Ingekuwa tunavote hata mimi ningerenew kadi yangu ya CCM ili nichague viongozi madhubuti. Wote hawa ni wafata mkumbo wanaburuzwa na wachache wanaotumia vyama kupata hela za bure toka bongo maana wamechoka na kazi za kujituma marekani. PLEASE PLEASE TUNAOMBA UTANZANIA WETU BACK AND NOT U-CCM, UCHADEMA, OR U-CUF. Lets build professional networking na tuwasaidie watoto wetu kupata kazi za kiprofessional na wale watoto wetu waliopo nyumbani wenye jitihada za kimasomo kama the first top 10 high score students in high school tuweze kuwasaidia kwa kuwapa scholarship ili waweze kusoma kwa utulivu bila wasiwasi kuwa nintapata wapi mkopo kwani wao ndiyo taifa la kesho. Kusomesha mtoto bongo is so cheap kutokea huku. LETS BUILD STRONG TANZANIAN COMMUNITY HERE IN DMV AND BUILD OUR NATION. IBA UJUZI, BIASHARA ANYTHING FROM WHERE WE ARE LETS TAKE BACK HOME. NAWAPONGEZA WATANZANIA WALIORUDI NYUMBANI KUANZISHA NEW IDEAS KAMA NYUMBA POA, LONG TERM MORTGAGE PLANS MAANA BONGO NYUMBA NI CASH OR 90 DAYS LAZIMA ULIPE. THIS IS WHAT WE WANT. HATA NYERER ALIYEKUWA ANAKUJA MAREKANI KILA MWAKA HE NEVER HAD AN IDEA OF OPENING CCM BRANCH IN DMV!!!!!
ReplyDelete